TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu limelaani kitendo cha jarida la Ufaransa la Charlie Hebdo cha kumvunjia heshima tena Bwana Mtume Muhammad SAW na vile vile kitendo kichafu kilichofanywa nchini Sweden cha kuuchoma moto nakala ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3473145 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/07